Thursday, July 5, 2018
Producer Aliyetengeneza Wimbo wa Diamond na Omarion ‘African Beauty’
Producer Aliyetengeneza Wimbo wa Diamond na Omarion ‘African Beauty’

Mashabiki wamekuwa wakifurahia ngoma hiyo lakini wengi wao hawamfahamu mtayarishaji wake.
Ngoma hiyo imetayarishwa na producer Chris Alvin Sunday maarufu ka jina la Krizbeatz kutoka nchini Nigeria.
Krizbeatz siyo jina geni kwa watu ambao wanafuatilia muziki wa Nigeria, tayari ameshawahi kutengeneza hits kibao kama �Pana� na �Diana� zote za Tekno, �Weekend Vibes� ya Seyi Shay na nyingine.
Chanzo: Bongo 5
ASILI YETU TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.